Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?

Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanamke katika ushairi wa kisasa. M...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Indede, Florence
Other Authors: Chuo Kikuu cha Maseno, Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika
Format: Article
Language:swh
Published: Universitätsbibliothek Leipzig 2012
Subjects:
Online Access:http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9838/18_10_Indede.pdf
id ndltd-DRESDEN-oai-qucosa.de-bsz-15-qucosa-98382
record_format oai_dc
spelling ndltd-DRESDEN-oai-qucosa.de-bsz-15-qucosa-983822013-01-07T20:06:32Z Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa? Indede, Florence Swahili Poesie Gegenwart Frau Weiblichkeit <Motiv> Swahili contemporary poetry woman womanhood ddc:496 Swahili Versdichtung Gegenwart Weiblichkeit <Motiv> Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanamke katika ushairi wa kisasa. Mada nyingi zinazohakiki matini za kishairi hulenga miuundo, mitindo na maswala mengineyo ya kijamii bila kuangazia swala la utata wa mwanamke. Uzingatifu wa vipengee hivi umefifisha uangafu wa taswira ya mwanamke katika ushairi wa Kiswahili kana kwamba ushairi umempuuza mwanamke kama mhusika mkuu. Tunachukulia kwamba matini za kishairi za kisasa zinahusisha mbinu na nyenzo mpya ambazo zimebadilisha sura na taswira ya mwanamke. Maswali yanayoibuka ni; Je, Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa kwenye enzi ya karne ya ishirini na moja? Je, umbo jipya la mwanamke ni lipi katika ushairi wa kisasa? Universitätsbibliothek Leipzig Chuo Kikuu cha Maseno, Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika Universität Mainz, Insitut für Ethnologie und Afrikastudien 2012-12-03 doc-type:article application/pdf http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382 urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9838/18_10_Indede.pdf Swahili Forum; 18(2011), S. 163-197 swh
collection NDLTD
language swh
format Article
sources NDLTD
topic Swahili
Poesie
Gegenwart
Frau
Weiblichkeit <Motiv>
Swahili
contemporary poetry
woman
womanhood
ddc:496
Swahili
Versdichtung
Gegenwart
Weiblichkeit <Motiv>
spellingShingle Swahili
Poesie
Gegenwart
Frau
Weiblichkeit <Motiv>
Swahili
contemporary poetry
woman
womanhood
ddc:496
Swahili
Versdichtung
Gegenwart
Weiblichkeit <Motiv>
Indede, Florence
Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
description Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanamke katika ushairi wa kisasa. Mada nyingi zinazohakiki matini za kishairi hulenga miuundo, mitindo na maswala mengineyo ya kijamii bila kuangazia swala la utata wa mwanamke. Uzingatifu wa vipengee hivi umefifisha uangafu wa taswira ya mwanamke katika ushairi wa Kiswahili kana kwamba ushairi umempuuza mwanamke kama mhusika mkuu. Tunachukulia kwamba matini za kishairi za kisasa zinahusisha mbinu na nyenzo mpya ambazo zimebadilisha sura na taswira ya mwanamke. Maswali yanayoibuka ni; Je, Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa kwenye enzi ya karne ya ishirini na moja? Je, umbo jipya la mwanamke ni lipi katika ushairi wa kisasa?
author2 Chuo Kikuu cha Maseno, Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika
author_facet Chuo Kikuu cha Maseno, Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika
Indede, Florence
author Indede, Florence
author_sort Indede, Florence
title Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
title_short Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
title_full Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
title_fullStr Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
title_full_unstemmed Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
title_sort mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
publisher Universitätsbibliothek Leipzig
publishDate 2012
url http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98382
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9838/18_10_Indede.pdf
work_keys_str_mv AT indedeflorence mwanamkeangalitatakatikaushairiwakisasa
_version_ 1716473261116620800