Mazungumzo na Adam Shafi juu ya uandishi wake wa riwaya
Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi...
Main Authors: | , |
---|---|
Other Authors: | |
Format: | Article |
Language: | swh |
Published: |
Universitätsbibliothek Leipzig
2012
|
Subjects: | |
Online Access: | http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98377 http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98377 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9837/18_04_Shafi_Diegner.pdf |
Summary: | Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi za ushirika wa kimataifa. Ni furaha yetu kubwa kuwa hatimaye tunaweza kutoa mazungumzo hayo baada ya kuyapitia na kuyahariri kidogo tu, kwa vile tunaamini utamu wa lugha inavyozungumzwa katika hali halisi ya maisha una nguvu ya kiujumi inayoweza kumvutia msomaji zaidi. |
---|