Mashairi ya waadhi `verses of admonition`:
Aliyetunga kasiga hii, Sheikh Abgallah al-Husni, alikuwa ni mtu maarufu sana Mombasa .. Kwa muda wa myaka arobaini takriban alikuwa akisomesha elimu za gini, msikiti wa Anisa, Mjuwakale; piya alikuwa akitoa waadhi msikiti huu na mahali pengine .. Antunga kasiga mbili za waadhi, moja katika hizo ndiy...
Main Authors: | , |
---|---|
Other Authors: | |
Format: | Article |
Language: | English |
Published: |
Universitätsbibliothek Leipzig
2012
|
Subjects: | |
Online Access: | http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-95272 http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-95272 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9527/2_08_Frankl.pdf |
Summary: | Aliyetunga kasiga hii, Sheikh Abgallah al-Husni, alikuwa ni mtu maarufu sana Mombasa .. Kwa muda wa myaka arobaini takriban alikuwa akisomesha elimu za gini, msikiti wa Anisa, Mjuwakale; piya alikuwa akitoa waadhi msikiti huu na mahali pengine .. Antunga kasiga mbili za waadhi, moja katika hizo ndiyo hii tuliyoishereheya katika makala haya .. W akati wa kutungwa waadhi huu - 1368 (mwaka 1948 wa milagi) - Mombasa ilikuwa ikali mji wa kiSawahili, yaani mji wa kilsilamu; lakini kulikuwa kuna mabadiliko makubwa yaanza, mabadiliko ambayo mwisho yanaondowa sura za uSawahili katika Mombasa na pwani nzima ya Afrika ya mashariki. |
---|