Ishara na uashiriaji kama nyenzo ya mtindo, maana na kiwakilishi cha itikadi katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke
Makala haya yanachanganua ishara na uashiriaji kama mbinu ya kimtindo ya kuwasilisha maana na kukuza uhusika na maudhui katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke (2010) ya Said Ahmed Mohamed. Nimechanganua aina tatu za ishara ambazo ni ishara bia, ishara za kaida na ishara za kifasihi kama zinavyoainishwa...
Main Author: | |
---|---|
Other Authors: | |
Format: | Article |
Language: | swh |
Published: |
Universitätsbibliothek Leipzig
2016
|
Subjects: | |
Online Access: | http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-199703 http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-199703 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/19970/SF_22_Wanyonyi.pdf |