Tofauti ya dhana ya mwanamke katika jamii: mifano kutoka katika taarab (mipasho) na nyimbo za Kibena
Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinazotofautiana na kufanana kwa viwango mbalimbali. Miongoni mwa masuala yanayotofautiana na kufanana ni majukumu yanayofanywa kwa kuzingatia misingi ya jinsi. Kutokana na umuhimu wa suala hilo, kumezaliw...
Main Author: | |
---|---|
Other Authors: | |
Format: | Article |
Language: | swh |
Published: |
Universitätsbibliothek Leipzig
2013
|
Subjects: | |
Online Access: | http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-107405 http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-107405 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/10740/SF_19_2_Mnenuka.pdf |